Pata Digital Skills zinazohitajika zaidi sokoni kwa sasa.
Jifunze AI, Graphics Design, Coding na Video Editing kwa Kiswahili.
Usihofu AI itakuchukulia kazi yako; hofu mtu anayejua kutumia AI kuifanya kazi hiyo vizuri zaidi yako."…
Je, unajua kwamba kazi unazotumia masaa 8 kuzifanya leo, kuna watu wanazimaliza ndani ya dakika 30 pekee?…
Happy Students
Modern Courses
Dawati la Msaada
Tunafundisha Skills ngumu za kiteknolojia kwa kutumia Kiswahili rahisi unachoielewa.
Video zetu zipo tayari 24/7. Unaweza kusoma ukiwa popote na kwa muda wowote unaokufaa.
Lipia kozi zako kwa urahisi ukitumia Mobile Money (M-Pesa, Tigo-Pesa, n.k) na anza kusoma papo hapo.